Sitaki Lyrics By Omg

[Intro] – Young Lunya
S2Kizzy nipe sauti kidogo, yeah hapo hapo

[Verse] – Young Lunya
Represent word “peace” since nimeanza kuchana
Words Clais akaniambia unaweza kufanya
Just fuck your day dreams and focus on night ones
Na nnachohitaji ni pesa iwe Rand ama Nairas
So namove fast like AK 47 nne saba
Fanya yote ila usisahau kupray, muombe yeye, Mungu baba
And i’m motherfucking paper chaser maana
Mambo mbaya, usawa unakaba
Stimu zote zimevurugika kama kichwa kina bapa kama saba hivi
Flow safi sana na zimeshabarikiwa (yeah)
Usiforce beef maana tumeshachanganyikiwa (yeah)
Kiroho safi kama unyama hapa unyamani pia (yeah)
Yaani kama gari hapa limeshachanganya gia (yeah)
Yeah we killing ’em kila beat eey ili mambo eey yote yawe byee
Tangu nisign dili SMG hakuna tena free tushapanda bei
Ndo maana siku hizi nimepata akili simu isiyo na deal huwaga sipokei
Na tunang’aa na we keep it flex japo hatutokei Oysterbay, Masaki

[Chorus] – Young Lunya
Maswala ya kunicompare sitaki
Habari zenu za umbea sitaki
Mademu zenu wa kushare sitaki
Yeah sta sta sta sta sitaki
Mi ni sta sta sta sta sitaki
Yeah sta sta sta sta sitaki

Verse] – Salmin Swaggz
Unaweza kusema nimepotea, stimu
Zapaa kila saa nikipokea simu
Social media wanacompare team
Wanacompare simu, hela benki adimu
Walisema muda haujafika so I waited..
Mpaka niwe Grammy nomited..
Wana wa madeni usiniletee
Hatuna deni we nilipe nisepe
So vuta shuka nshasanuka kishanuka, mdalasini
Wameshtuka wanapepesuka, we unaijua mizuka?
You know what I meanie
Ni superduper so kila chupa nachafu maduka kama day routine
Utanikuta kwenye bulletin, girl you never pull a bullet in (huh)
So what now mi ni Black Jesus
Nabadilisha wanao wanakua believers
Hatuwezi kuacha mziki this baby needs us
Kitaa chao tushakua ma-leaders, so

[Chorus] – Young Lunya
Maswala ya kunicompare sitaki
Habari zenu za umbea sitaki
Mademu zenu wa kushare sitaki
Yeah sta sta sta sta sitaki
Mi ni sta sta sta sta sitaki
Yeah sta sta sta sta sitaki

Verse] – Con Boi
My name Con, Gambino
All my niggas call me Cannabino
Most of girls from different places sijui Manzese, 104, Kino
Wananiita Bino
The realest kid from the black dawg you know what it is
I’m a hustla homie kwetu ugali gundi
Sio mtoto wa mama kwenu wali ndizzz
I’m chasing money, I’m getting dow
My own paper we unapewa bro
Tuko tofauti tena sana maana we unauza sura mi nauza flow
We don’t play games, we don’t play play
Tutakubang bang hatutaki usenge
Huwezi game kaa tu pembeni kama hauniwezi kauze genge
Wanakubeba halafu haubebeki ngoja wakushushe ukajibebe
Unachokiweza ni usharobaro na usharouharo beibe-beibe
Cannabino

[Chorus] – Young Lunya
Maswala ya kunicompare sitaki
Habari zenu za umbea sitaki
Mademu zenu wa kushare sitaki
Yeah sta sta sta sta sitaki
Mi ni sta sta sta sta sitaki
Yeah sta sta sta sta sitaki