P The Mc feat Ngwair Mademu Wangu rmx Lyrics

P The Mc feat Ngwair Mademu Wangu rmx Lyrics

Bombronx. . . Wuuh!. . . Yiah Yiah! Anhaa. . . Anh! Kweli nna mademu wengi kila mtaa/

Ukiacha wasojulikana wapo na ma super star/

Wachache sana walojifanya kunikataa/

Na wala sijali mana nishapata kila raha/

Kwanza kabisa nlitupa kete kwa anti/

Na haikubuma akanipa one night chansi/

Nikakolea nikataka nimfanye fiance/

Kumbe ameshachumbiwa na yule mchizi wa kudansi/

Ikawa siri tukacheza kimya kimya/

Na hakuna alojua mpaka siku namkamata Lina/

Na mwisho penzi letu likavunjwa na Jokate/

Sababu ya spot so akataka tuwe spot-mates/

Kwenye list ya madem wangu naoogopa/

Ni huyu mtoto wa kichaga mwenyewe anajita Wolper/

Kila anachokiona mbele hataki kukikosa/

Na ukisema hauna kitu tu kesho kashakutosa/

Uvumilivu anao baby wangu Shamsa/

Ingawa mpole mi ndo nilimfanya kuchangamka/

Hata kwnye harusi ningembusu angekausha/

Ndo kisa Chidi akaweka ulinzi wa ma baunsa/. . . .

(mapenzi) Chorus (Ngwair) Verse Two:

Asa nna Shishi, anachoniboa ni msaliti/

Haoni noma kufunua hata kama ume muhonga pipi/

Tatizo lake pia anapenda sana ukorofi/

Naskia alikuwa na boya kampiga sana makofi/

Wema, huyu ndo kila siku sinema/

Tabu yake ye anataka ufanye kila anachosema/

Anapenda chapaa ndo kisa Chibu kamtema/

Yani nsingetoka nae ka ningetambua mapema/

Nikaona bora moyo niweke kwa Kajala/

Siku nzima haonekani kumwona mida ya kulala/

Kutwa kwa mashosti Mwenge, Sinza na mbagala/

Na anachonikera ni kupigwa pigwa na mafala/

Hamisa, wala usinitegemee kabisa/

Nimepewa data zako kwamba hujui kutingisha/

Bora Snura, vile anavyoniuzishaga sura/

Tukiwa pamoja rodi anavyoitingishaga chura/

Niliowataja wote naomba msichukie/

Si mna namba zangu basi mtani beep niwapigie/

Mkiona niko bize au labda sipatikani/

Sio kesi, ibukeni skani Kiwalani. . . . (bombronx) Chorus (Ngwair)

Attachment