Noma mwanangu Lyrics By P The Mc Feat Deddy

Lyrics
Song: #NOMA_MWANANGU
Artist: P Mawenge feat Deddy
Producer: Cjamoker
Studio: Dream Booth Rec

Verse 1:
Asubuhi NIMEAMKA mwanangu/
Nikayaelekeza macho kwenye UKUTA mwanangu/
Ile nacheki saa, KUMEKUCHA mwanangu/
So ikabidi nitupe kando MASHUKA mwanangu/
Piga baf paka MAFUTA mwanangu/
Nikavunja kabati kwa KUNYUKA mwanangu/
Kama bishoo NILIVYOLIPUKA mwanangu/
Full jeans hadi koti chini SUPRA mwanangu/
Natembea ka NAJITUPA mwanangu/
Naenda mishe mishe town KUZUNGUKA mwanangu/
Kupanda bas, ile NASHUKA mwanangu/
Naona bonge la dem ndo LINAVUKA mwanangu/

Chorus: [Deddy]
Yani mtoto kidakwa
Ukimuona yani hata wewe utadata
Hayo mabom kiunoni kafungasha
Nilijiona mwamba nimepata… pata… pata
Nikahisi nimeopoaa. . . (Kumbe noma mwanangu)
Cha kike nimeingia……. (Noma mwanangu)
Baa zote kashachafua……. (Noma mwanangu)
Kila kona wanamjua……..(Noma mwanangu)
Verse 2:
Kamoyo KAKALIPUKA mwanangu/
Nikasema huyu mtu au MZUKA mwanangu/
Amejazia nyuma kama DUKA mwanangu/
Yani Puuh! kila hatua IKINYANYUKA mwanangu/
Nikasema siachi FURSA mwanangu/
Chomoa leso NIKAJIPANGUSA mwanangu/
Kisha pumzi ndefu NIKASHUSHA mwanangu/
Sa ngoja nikaweke mambo SUPER mwanangu/
Hadi kwake NIKAJIVUTA mwanangu/
Kisha sumu zangu NIKATUPA mwanangu/
Dem kasiiz anang’ata KUCHA mwanangu/
Yani ndani ya daika 5 mambo SUPER mwanangu/

Chorus: [Deddy]
Yani mtoto kidakwa
Ukimuona yani hata wewe utadata
Hayo mabom kiunoni kafungasha
Nilijiona mwamba nimepata… pata… pata
Nikahisi nimeopoaa. . . (Kumbe noma mwanangu)
Cha kike nimeingia……. (Noma mwanangu)
Baa zote kashachafua……. (Noma mwanangu)
Kila kona wanamjua……..(Noma mwanangu)
Verse 3:
Nikaenda nae KUJIRUSHA mwanangu/
Kiwanja, agiza sana CHUPA mwanangu/
Cjamoka AKANIKUTA mwanangu/
Ile kumwona yule duu AKANIVUTA mwanangu/
Akanambia huyo dem BUCHA mwanangu/
Yani muuza minofu usiku KUCHA mwanangu/
Tena kitambo AMESHALIPUKA mwanangu/
Ana moto so anafanya KUUZUNGUSHA mwanangu/
Mamaaah! Ebwana KANIEPUSHA mwanangu/
Bila kuaga NIKAKISANUSHA mwanangu/
Nipo geto, nafsi INANISUTA mwanangu/
Bila kuokolewa leo NINGEJUTA mwanangu/

Chorus: [Deddy] X2