NA MIMI Lyrics by P the MC Feat Jux

P The Mc Ft. Jux - Na Mimi

NA MIMI Lyrics by P the MC Feat Jux

Wimbo: Na Mimi feat Jux
Produza : dully sykes

Beti1::
Eyoo Shori… alidai mtoko na mimi/
Mradi aonekane kila chocho na mimi/
Club ,cinema au beach coco na mimi/
Ili mradi tu nae karuka kopo na mimi/
Nikamwambia sina mkoko lakini/
Uko tayari kutembea kwa ngoko na mimi/
Kajibu yuko radhi awe kushoto ya mimi/
Kwenye raha na pia kwenye misoto na mimi/
Kaja gheto kula ukoko na mimi/
usiku kalala fofofo na mimi/
Kanikumbatia aote ndoto na mimi/
Nimpige mikasi ili azae mtoto na mimi/
hajaleta shobo na mimi/
Yupo Cool na hapendi choko choko na mimi/
Kila night anakesha kama popo na mimi/
Watu wanadai yeye ndo kiboko ya mimi/

Kiitikio: Jux
Niking’aa anang’aa nikivaa ana vaa…..
Logo moja na mimi/
Kwenye shida kwenye raha….
Baaaby yuko yeye na mimi/
Tushashinda sana njaa ndani/
Akalala na mimi/
Anapendwa na wengi ila yee…
Ananipenda mimi/
Mi nasema tena…
Oooh weoooooh
(Aaah Ananipenda mimiii)
Oooh weoooooh
(Atazaa na mimi gal eeeh)
Oooh weooooh
(Nanana Nananaa aaah)
Oooh weoooh
Anapendwa na mimiii

Beti 2::
Hapend niwe mbali kila docho na mimi/
Shop, hadi kwenye masoko na mimi/
Studio, hadi chumba cha voko na mimi/
Kwenye rap anamwelewaga moko na mimi/
Usiombe apige photo na mimi/
Utasema p ameng’oa mtoto makini/
Akitembea demu ana miondoko sabini/
Tena ureeef wa kutosha sa kokoko za nini/
Jumapili ye ni gospo na mimi/
Akilewa kanywa dompo na mimi/
Kipindi cha barid amajoto na mimi/
Nikisep””a anakuwa na Alosto ya mimi/
Nikishinda home, mtoto na mimi/
Furaha utasema kashnda loto na mimi/
Kila night anakesha kama popo na mimi/
Watu wanadai yeye ndo kiboko ya mimi, halaaa/

Rudia kiitikio:

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez