Microphone Lyrics By Ay Feat Fid Q

MICROPHONE:

Verse 1:

Mtu mbaya,Zee!!Katili la Flows
Niko kwenye Microphone nakata tu Flows
Maujanja mwana nayo mengi ila nakeep tu Low-Key,
Yanayosemwa naact ka siskii
Kumbe na vyanzo vya habari kama KGB
ITV TBC BBC

Niko Protected kama Area 51
Ukitaka kunitavaa jiulize waja namna gani
Fani kwa Fani ama waja Gun kwa Gun
Man to Man ama twende Clan kwa Clan

Mic tamu kama PU-SSY CAT DOLLS
Ndio maana unaona sibanduki
Naspit tu flows

Huwezi fanikiwa kama una roho ya kwa nini mwanangu jiamini sambaza Upendo mpaka Baharini thamini cha mwenzako kama chako Ubaya wa nini haya ni maisha na hatuwezi fanana hata iwe nini

CHORUS:
Niko kwenye Microphone
Hata useme nini sitamani sioni
Verse 2:
Wanaingia CHAKA kama DEMUS na PLIERS watu wabaya wanapotema/ Wanaingia CHAKA kama DEMUS na PLIERS watu wabaya wanapotema/ Maaaaayn.. nawaona mnavyochonga.. mnavyoomba nije kupotea/ nitajenga NYUMBA YA TOBA kwa MAWE mnayonipondea / Nitawaombea kwa MWOKOZI ili HUSTLE ziweze wasaidia/ CHOZI lisafishe MACHO ili muweze kuiona njia/ mambo kwa SOKSI hatupekui kama MPOTO/ tuna MAPOZI.. sio lazima waujue mguu wa MTOTO/ KICHWA kina DONDA, MKAGUZI ni MKONO? yeaah/ WANACHONGA? piga NYUZI MIDOMO na UPUUZI nyea/ MAKUZI potea../ MICHUZI niliyo-LOOSE juzi rejea/ WANAKONDA na sio JUDY.. enyi MBUZI msiunguze MMEA/ JINYANYUE ili uvishinde VIZUIZI kama MBIZI elea/ JIJUE kama una hasira za MKIZI.. URITHI sio SHEA ( share ) / MASELA hatuna FEGI? Tunavuta hadi VICHUNGI/ unataka ULEVI? Kung’uta jivu kwenye TUNGI/ πŸ‘ˆπŸΏ πŸ™ŒπŸΎ weekend dream.. ninaamka na BLUE MONDAY (in)stead/ na NET ya kustream ili FEI awacheki SANJAY & CRAIGβ€’β€’β€’β€’

CHORUS:
Niko kwenye Microphone
Hata useme nini sitamani sioni

Verse 3:

” Fiddy ni mgumu sana ” nina sumu mama.. hautaki bao?/ game ngumu? Hapana.. utadumu kama unawashkaga wadau/ na sio ubinafsi ikiwa sitaki haki yangu mie.. ibaki kati kama zawadi ambayo hauipati hadi uigombanie..

Flow zangu Remedy
/ Ngumu kumeza ka we ni wack Mc
Nasafiri -sha
Madini kutumia swahili

🎢 Door to Door
🎢 Naachia vitu more
🎢 Don’t try this at home
🎢 Wasije kusema you’re no more

Ndoto haziwi mpaka usingizi ukiukata/
na hakuna kitu rahisi kupata siku hizi kama kudata

Flames zinawaka kichwani ka niko Allepo
*U better runnnn…(Run Muhfucka Run) au ikibidi vipi tusettle

Unashangaa? Shangaa meli kubwa bandarini/ lakini ni ndogo iwapo katikati ya bahari safarini

Niko Makini pia napita makini njia
Na si za Makini KIA β€œJUCHE” ka North Korea

CHORUS:
Niko kwenye Microphone
Hata useme nini sitamani sioni
CREDITS:
AY Featuring Fid Q
Microphone
Produced By Hermy B
B Hitz Studio
Destro