Mabundi Lyrics by Big Jahman Feat Fid Q & Sarah.

Mabundi Lyrics by Big Jahman Feat Fid Q & Sarah.

Verse 1: Fid Q Nishafutwa tongotongo na longolongo ile nginjenginje/

mbongombongo TU maneno ya shombo nje nje/

hadithi hadithi njoo.. Lakini uongo usije sije/

nipe mchongo kidogo mikogo songombinde/

Ngangangaa.. ishatait kamba.. umenipata maah!?/

Mzee baba nishaganga njaa.. /

Mpaka chaga Zinaona gere/

nakupeti kwa upanga uweze Mwaga chele/

aah.. ongezeni JOTO JOO-TO/

hili vanga la kikubwa sio KITOO-TO/

bundi bundi laza POPO/

hapa mziki hauzimwi mpaka KOKO-RIKO

CHORUS: Mabundi mabundi sio mapopo uwooooh.. sio mapopo uwooouh.. sio mapopo uwooooh x 2

Hili ngoma ni la wakubwa sio watoto/ na wanaokesha ni mabundi sio mapopo../ ni mabundii..x2 Hili ngoma ni la wakubwa sio watoto/ na wanaokesha ni mabundi sio mapopo../ Ni mabundii.. SIO MAPOPO.

. x2 Verse 2: JAHMAN Wape lager/ wape bapa/

na wale sweetie sweetie wamwage radhi wanavyo taka/ Nyakanyaka..nyang’anyang’a kama nyama bado mbichi wape fish wakitaka/

wape chapaa/ wape masaa/ wapoze njaa kisha uone watavyo ng’aa/

usiweke tamaa / chagua anae kufaa faa/

kama hujamjua basi popote unaweza kaa kaa…./

ongezeni JOTO JOO-TO/ hili vanga la kikubwa sio KITOO-TO/

bundi bundi laza POPO/

hapa mziki hauzimwi mpaka KOKO-RIKO

Verse 3:

SARAHA Rastaman najua umenisoma/

mie ndio yule binti aliyenona/ akipita.. Kwenye kona/

mnamuita aje kuchoma/

kama ni party nyinyi mnataka.. urafiki bila uaminifu hapa ni NO/

njoo tule happy.. hakuna matata lakini kula bata inahitaji DOO/

ongezeni JOTO JOO-TO/ hili vanga la kikubwa sio KITOO-TO/

bundi bundi laza POPO/ hapa mziki hauzimwi mpaka KOKO-RIKO

Follow Twitter Tizneez

Facebook page Tizneez

Instagram Tizneez

Tuachie maoni yako hapa

Mwisho