Lyrics Sili Kwenu SONG. sili kwenu ARTIST.mtashi $ bassat

IMG-20160711-WA0023

SONG. sili kwenu
ARTIST.mtashi $ bassat
STUDIO. city music
PROD. problem $ osscar

verse1 (mtashi)
ukipiga simu sipokeiii..siku hizi siongeiii..
so njoo kwangu ukiniita kwako sitokeiii/
sili kwenu manzeeee…USHANIFAHAAM eeh..
kama bado narudia sihitaji story na MA-GAY/
we unapanga me nivae nini..!?unachekesha..
sina mikwanja..sina kitanda daily nakesha/
na sio leo tu hii ipo wazi karne na karne..
sili kwenu eti ninywe maji ujikute mfalme/
emcee wamezidi umbea hawakauki kwenye mkeka
wakitoa track vituko ka hadithi za bulicheka/
na kina GIGY hawaambiliki..viuno benubenu..
majibu hayatamaniki..anhaa me sili kwenu/
nimewaskia wakiulizana Mtashi amekuwa emcee..
nawatuliza mishono kwenye hii beat ya P/
XO we endelea tu kuwa kiazi mwenzako napiga buku
na nikiamua natema YAI utadhani nimemeza kuku.

chorus
naenda resi nipate mkate juu ya meza….kila siku na hustle ili nipate chakumeza
kwasababu SILI KWENU..SILI KWENU..SILIKWENU..SILIKWENU

verse2 (bassat)

Mwalim m’bovu fanikio

Hainifanyi niombe kusota najifunza tu au sio

Moyo umejaa makovu,, ni mianguko kwenye mbio

Shetani muovu emcee wabovu mnawapa sikio

Sasa huu ujio wa mr kazi na bomoa uzio

Sina nyumba…napo ishi mwenyekiti wa mtaa

Njia panda ya segerea wameshapita dakika kadhaa

Najibana muhuni… nikikosa shuka najifunika ngumi

Silikwenu siogi kwenu (wee) naijua bei ya sabuni

Dada yako ana tafuta buzi.. dada yako ana amakuzi

Mtoto mdogo sasa juzi nimemkuta anakata nyuzi

Ndio maana silikwenu ilee kiroho mbaya na isiwe sawa…

kwani siri ya nini hapo!!? me silikwenu kwa ubaya

Na ninapo amua kula mnasema na kubwa toonge

Sasa sinywi chai!!! mbona mlinipa bonge la kombe

Sababu hulijui ghetto hujui depo jera keko

Maisha huleta faraja tu sababu huijui kesho

chorus
naenda resi nipate mkate juu ya meza….kila siku na hustle ili nipate chakumeza
kwasababu SILI KWENU..SILI KWENU..SILIKWENU..SILIKWENU

verse 3 (mtashi en bassat)
bassat.. sukari imepanda bei kama ninii..nilizaliwa enzi zile mchele sabinii
siku hizi hata shilingi mia haununui mafuta ya taa.
.silikwenu (tena burebure)ni bora tu nife njaaa

mtashi …na ningekula tatizo bimkubwa wako ana visa
dingi anaTisha hivyo sitegeki na mboga tisaa

bassat…home kwetu.. msosi ulaji wa mezani..
chakula chako masharti unalia chumbani.
.
mtashi… nini kwenu..nikivurugwa hata kwetu sili..
pilipili..sista huwa unakera sio siri (niniii)
unaweza tenga usiweke maji wala kijiko
nikiuliza unanipiga na mwiko (inakeraa)

bassta.. naenda resi nipate mkate juu ya mezi
mtashi…kila siku na hustle ili nipate cha kumeza
bassat..massage zangu hauzijibu..eti mpaka nikupigie
mtashi..na nikija unasonjonya
bassat…SILI KWENU MENDEE NYIEEEEEEE

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez