Legeza Kidogo Lyrics By Maarifa Big Thinker Feat Minor Tone

Legeza Kidogo Lyrics By Maarifa Big Thinker Feat Minor Tone

 

song: Legeza Kidogo

artist: Maarifa @maarifabigthinker ft Minor Tone

producer: Abby Mp

studio: Dig Down Record

 

intro:

 

kibaha finest

 

Maarifa

Mtoto Wa Baba

 

VERSE: 1

 

yani vile naanza tu huu mziki wakauliza

ni mziki gani…!!?/

 

mi nikasema nachana wakaniambia

kwaajili ya nani..!!?/

 

nikawaambia jamii wakaniambia

kweli utafua/

 

ila zao uota na nyasi ndio ukweli wasio ujua/

 

 

nikawazima nikasimama wima MUNGU ndio mpaji/

 

niliamini bora pekeyangu kuliko ndugu wazugaji/

 

namishe bila idadi maana nikweli bila jihadi/ {tu]

 

ni kukamua chuma kisha nikatarajia maji/

 

wakanitosa bhana/

wakiamini ntasota mwana/

mi nikapita kwa pengo maana kiukweli nilikosa mwanya/

 

nasikuchoka jamaa/

japo walieleza vigogo/

 

“bhanaaaaaa hii ngumu sana bhana legeza kudogoooo”

 

 

 

nikaona kheee…!! kivumbi na jasho nihatari check/

 

japo hatari eti/

wala hawajali hizi hatari beti/

 

kweli mziki una mengi mpaka kutamba sebene usikatae check/

 

wapo wembamba mpaka wanene entertainment/

 

 

chorous:

 

Minor Tone

 

michano sio ndodo usichane sana ukajifanya umekamia/

 

basi legeza kidogo “mixer” utani maufundi iwe kama unatania/

 

aiye yee yeeeei: Legeza Kidogooooo

kwa haya Maarifa na Mafunzo…!!!? legeza Kidogooo

 

nikitema tenzi na hii mitindo bwashekhee…!!? Legeza Kidogooo

 

basi Legeza Kidogooo weee…

 

 

verse : 2

 

nilifundishwa kwamba ridhiki mafungu saba/

 

shughuli naiona kwenye huu mziki majungu baba/

kwa uchungu sasa/

 

imebidi mavitu niyatoe/

kama kwli akili nywele basi kila mtu asinyoe/

 

nafunguka/

wanaibuka/ wenye habari za uzushi/

 

siwataji majina hii ni habari kwa ufupi/

 

kwa tahadhari nikanyuti/

 

maana nikwere oyee/

 

sikuzote mwenye kiherehere hapewi polee/

 

“Legesa Kidogo tupige pesa we mutu”/

ndio nikaamini kweli njaa uonesha tabia ya mtu/

 

ninasomo nasina promo/

Maarifa sina mgomo/

 

nikaamua kuvunga hadi wakahisi sina mdomo/

 

{mmmhhh} ndio haya naeleza hapa/

 

niliwakumbatia wale nisio weza kuwang’ata/

 

sikucheza au kueleza kwa stori na ngenga tupu/

 

nilichoamini nikwamba mpira magoli chenga mpe kuku/

 

 

 

chorous:

 

Minor Tone

 

michano sio ndodo usichane sana ukajifanya umekamia/

 

basi legeza kidogo “mixer” utani maufundi iwe kama unatania/

 

aiye yee yeeeei: Legeza Kidogooooo

kwa haya Maarifa na Mafunzo…!!!? legeza Kidogooo

 

nikitema tenzi na hii mitindo bwashekhee…!!? Legeza Kidogooo

 

basi Legeza Kidogooo weee…

 

 

 

verse: 3

pambana mdogo wangu ujikwamue kwa hii hali/

maana unaweza ndio aliniambia madii ali/

hii habari/

sikuiacha ikipita ikaingia ubongoni/

 

nilipanga maneno amani na vita uanzia mdomoni/

 

be you be the change n’ be the game/

aliniambia Fareed “Maarifa nakuona sehemu”

 

unauwezo una juhudi MUNGU yupo ataleta mahitaji/

 

ila vyuma bado vimekaza mbuzi kamng’ata mchungaji/

 

nakama kufanya nafanyaga hivi tu nikifanya juu ya beat/

wape na snare wanaoamini juu ya kick/

juu ya shabiki/

vema ukafahamu na hiki/

 

jahazi la upendo uzamishwa na wimbi la unafiki/

 

ni Maarifa { mmhhmmmhh}

hamjaelewa kwani…!!???/

kwa vinega Mr 2 ILA SUGU wa wasafi ni Ray Vanny/

hawajaongea kwani…!!??/

hawajajua ntakupa ukweli/

 

mapenzi ugonjwa na usipokaza unakufa kweli/

 

 

 

 

chorous:

 

Minor Tone

 

michano sio ndodo usichane sana ukajifanya umekamia/

 

basi legeza kidogo “mixer” utani maufundi iwe kama unatania/

 

aiye yee yeeeei: Legeza Kidogooooo

kwa haya Maarifa na Mafunzo…!!!? legeza Kidogooo

 

nikitema tenzi na hii mitindo bwashekhee…!!? Legeza Kidogooo

 

basi Legeza Kidogooo weee…

 

 

outro

 

Abby Mp

 

Minor Tone

 

 

yeaaa…

mi’ sio JINI ni GENIUS

 

 

BigThinker…

 

Maarifa…

 

enheee..!! MKUBWA HAPANGWI