Kipenda Roho Lyrics By Rama Dee

IMG_5287

varse 1

mwanga umefanya watuone, wakosowe ni somo tu
chombo kwenye maji lake jua yake mvua safari tu
kwenye mvua metope si ndumba oh
yasikufanye uchoke mchumba oh
wanapanga maneno kama chati za kumi bora
kuumpima upendo ni hatari

chorus
Mbele tunaona vita kipenda roho roho yangu
nishike mkono kuyapita kipenda roho roho yangu
tulishinde lengo lao lao
lengo lao lao lisitimie…

varse 2
ukitazama marengo haukosei, haupotei kwenye love
wema huishi nao sweet my love, hati ya wawili kuitunza siri
mchunga mbuzi hanuki hizi story, si za kweli babe
angalau tone moja liende kumimina penzi sitarajii

repeat chorus

for the first time kusikia amani ndani ya maisha yangu
your my (NGO)
tusimame babe

repeat chorus