“Kama unataka kiki fanya yafuatayo” Nikki Mbishi

Kama unataka KIKI fanya yafuatayo:- Lyrics:
Kama unatafuta kiki tembea na Wolper Gambe/
Toka na Masogange/
Ingia Instagram post mtukane Mange/
Mdiss Ali Kiba ama Team Simba uone/
Utavyokuwa Star kesho early in the morning/
Toa wimbo ufungiwe utekwe ufichwe lock up/
Uitwe Central kisa maunga wakuite nyoka/
Utoke “font fedi” bila tabu/
Tunawaona tunawaona wazee wa Shilawadu/
Habari sio habari bila Magu/
Askari napitia kila tabu/
Wadau wanamnyima Zillah shavu/
Hizi mila kavu/
Kama unataka kiki sanuka/
Iga Harmo rapper kama hailipi tambuka/
Humuwezi Nikki rhymes zenu bazooka/
Menu nagusa kazi kwenu manjuka/
Wengine kuheshimika sio lazima/
Napima fikra za upako na Gwajima/
Watu nuksi wanakula mpaka mchango wa yatima/
Yetu na mabango halafu yao wayazima/
Na sisi tuna familia pia/
Urithi kuziachia tumedhamiria nia/
Palilia njia watoto wa bibi wapite/
Mzee wa kuzungusha wananiita Nikki Bashite/
Sikupandishi Mori makusudi/
No story hapa kazi tu I’m sorry Magufuli/
Amber Lulu yuko Jolly na kufuli/
Wana-strip ye na Giggy wana-ball kwa shughuli/
Kama unatafuta kiki vuta kiti/
Waza mbona nina sura mbaya halafu kufa sifi/
Tupa jiti hiyo ganja tu mwamba/
Darassa bila elimu mambo bampa to bampa/
Danta ni ushanta kudata na skanka/
Za planter kisha kula bati na magangstar/
Rusha track shuka chati ama panda/
Kwenye plate umefuta ngapi namba/
Unju Zwangendaba type napendaga mic/
Nashusha Nondo nzito zile mnabebaga site/
Jipange baba fight na vipande kama White/
Michael Jai Undisputed na Boyka/
Uko solo where ya muthafucking boys at/
Si unatafuta kiki/
Mpaka kwa skendo za kufariki/Sasa nisikize nakupa hiki/
Kisa Wema Sepetu na Idrissa/
Kabla ya Ommy Dimpoz kufungiwa Ibiza/
Nasikia hata ile mimba waliigiza/
I see me sometimes I see Jesus/
Naona malaya tu na si divas/
Mheshimiwa na hang na street niggas/
Bado nasomeka big pictures/
Nikiwaza adha za maisha/
Brotha namkumbuka mpaka baba wa taifa/
Ita baba yako ita mama yako/
Waulize NIAJE hatupatani vita Mandavako/
H2O flow na-supply ka” Dawasco/
Nawaficha kama G -String inavyofichwa na MAT*KO/

Verse 2

Verse 3

Follow Twitter Tizneez

Facebook page Tizneez

Instagram Tizneez

Youtube Tizneez

Tuachie maoni yako hapa