Ibaki Story -Lyrics By Rich Mavoko

mavoko3

[Verse 1]
Matapishi ni kinyaa kuzirudisha tena kwenye
kinywa
Japo mengi ulisema, kama nuru ghafla ukazima
Ikawa ngumu kukusahau, nikasema moyo ukome
Kwa kali sulu na madharau, penzi ulivunja na
ngome
[Pre-Chorus]
Na unajua hata nikilia siwezi kutokwa na
machozi
We ndo ulifanya macho yangu nione wengi
waongo
Aa ukaudhurumu moyo wangu, uliuza penzi kwa
magendo
Leo unatamani wewe kurudia zamani, ni ndoto
Wewe nirubuni kwa penzi la kidani kama mtoto
[Chorus]
Mi na wewe, acha ibaki story mi na we
Mapenzi mi na wewe, acha ibaki story mi na
wewe
Mi na wewe, acha ibaki story mi na we
Mapenzi mi na wewe, acha ibaki story mi na
wewe
[Verse 2]
Kiliniumiza kitanda na shuka tuliolalia
Mapenzi yana siri kubwa, sishangai mtu akilia
Nimekubali mboni zangu zimtazame mwingine
Maridhia ya moyo wangu huenda si fungu
pengine
Cha kushangaza hadharani mengi ya kuficha
ukaweka wazi
Nikahisi sijui mapenzi, labda kwako sinogi nazi
[Pre-Chorus]
Na unajua hata nikilia, siwezi kutokwa na
machozi
We ndo ulifanya macho yangu nione wengi
waongo
Aa ukaudhurumu moyo wangu, uliuza penzi kwa
magendo
Leo unatamani wewe kurudia zamani, ni ndoto
Wewe nirubuni kwa penzi la kidani kama mtoto
[Chorus]
Mi na wewe, acha ibaki story mi na we
Mapenzi mi na wewe, acha ibaki story mi na
wewe
Mi na wewe, acha ibaki story mi na we
Mapenzi mi na wewe, acha ibaki story mi na
wewe
[Bridge]
Yalinitesa mazoea aya
Lakini mi nishazoea mwaya
Ila tambua mapenzi mabaya
Kidonda chake hakinaga dawa
Ee mazoea aah
Lakini mi nishazoea mwaya
Ila tambua mapenzi mabaya
Kidonda chake hakinaga dawa
[Chorus]
Mi na wewe, acha ibaki story mi na we
Mapenzi mi na wewe, uuh uuh
Mi na wewe, acha ibaki story mi na we
Mapenzi mi na wewe, uuh uuh

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez