Fresh Lyrics by Fid Q

Fresh Lyrics by Fid Q

Nikipata cash.. nakua FRESH kama cucumber/ nikiwa na dash nakua mjeshi bila full ngwamba/ kwenda resi sioni kesi Mr Ku-banda/ yakijiset.. sikwepeshi naweka juu chanda.. Niko FRESH kula FRESH ile FRESH ya shamba/ FRESH maujanja..WAWESH ile FRESH – inabamba../ FRESH kinanda..haukeshi kama hauko FRESH umesanda../ ji-reFRESH zaidi ya MESSI akiwa na mechi ya kandanda aah/ FRESH kama january 1st/ sio NJAAnuary.. huacha vision iko blurry ikuchoshe/ Jedwali-ikuumize.. mishe sio zali hauna noti/ kisha umentali ujivishe.. ubishe.. february utoke../ FRESH kama pipi ya mint.. pipi ya binti.. au p-p ile P P ya lift/ P ya please au FRESH ya PF3 ya polisi?/ iko weird.. unaweza ingia na wakazuia release../ HOOK: FRESH X8 VERSE 2: FRESH ka(MA)BAGA/ FRESH kama PRINCE wa BEL AIR/ Ninazidi panda/ Oooh,..BABY!!!!/ Silverfox kama BARABUU au WANDIBA/ Ninaitwa BOSS na nina-ball kama BABANGIDA/ FRESH off the boat niko ZANZIBAR/ Ninai-smell KARAFUU nikiwa na CANDIBAR/ Na washikaji kama WADIDADI.. HAS T na HARD MAD/ Hautaki hii? BARIDA/ Trapped in me au LODIDODI/ Ki-Slick rick.. sio CANNIBAL au SWIZZ BEATS/ 6 feet.. Playa bila limp kama BIZKIT/ Yes please.. sio Netflix/ ni 3D sio HD/ Sexy na sio HB/ FRESH hii.. sio kesi Fid/ SWAG? mie ndo main switch/ hauwezi snitch/ Hautaki? uliza Mbezi beach au bounce/ Nikiwa resi au speed.. nina dress like shit (lakini) mie ndio best wa ku-spit hapa town aah/ HOOK: FRESH X8 BRIDGE: Niko FRESH kama movers & shakers/ Mjuba sijazeeka.. zinaitika dili kubwa ninacheka/ Nasikika FRESH nikiongea kama PESA ya KAMPENI/ Hivyo sio FRESH nikipotea kama PESA ya MADENI/ Hauutaki uzee na unatamani kuishi milele? sio KESI/ Unataka Upedeshee na mtaani hauna kelele? Sio FRESH../ ha ha haaa… FRESH/