Artist Wakazi – Track Moyo (Lyrics)

Wakazi – Moyo (Lyrics)

VERSE 1:

Uuh Mwenzio kwako nimekufa/
Ila ndio maskini hivyo sina Cha kukupa/Hivyo busu shavuni pengine kukugusa/Ndio njia pekee ya mimi kutoa rushwa/Acha mchicha, nataka nyama we ndio Muuza bucha/Nioneshe kama una huruma, hebu nipe ruhusa/Hata kama kimapenzi bado nitakuwa kuruta/Niwie radhi, nipo tayari ugh, usiku kucha/Nani kasema mapenzi huimbwa kwa taratibu/Sikia ladhaa ya Sumu, tamu Kama zabibu/Inakupa tabasamu, kicheko Cha aibu/Ila mimi ni daktari, so nieleze yaliyokusibu/Nitokapo mimi, wewe ni Bidhaa adimu/Inayoweza simamisha Muda, Na majira Kila msimu/Ladha Yako, kama maji Ya ndimu/Yaliyochanganywa na Sukari ila Sio ice cream/Gharama Ya Salamu yako inazidi ile Ya bili Ya simu/Na Kwa macho umeniita, so na uhakika unachotaka kunieleza lazima kitakuwa muhimu/
BRIDGE:
Nikikugusa niguse, nachokupa nikupe, MOYO Wangu nao ushahereke/Nitakuganda kama kupe, this a real life movie, baby girl see I will never throw your love away/hear me say
CHORUS:
You should shut up and listen/If you let me love you, I’mo give you the business/Hayo mapenzi hebu nipe/But if it’s not possible, Niambie nikipe/
VERSE 2:
Najua habari Zangu utakuwa umesikia/Ila hao wazushi tu wanao taka kukuingia/Mama skia, mimi sio Mbuzi fata mkia/Ntakupa vya kwangu huku vya kwako nikivipitia/Kwa, kila namna jaribu kukuridhisha/Ka, kusema “I love you” hadharani pata picha/Ila kwanza mpira nakupa kama golikipa/Ili ufanye uamuzi Kabla mpira sijavaa, u dig that/Hakuna Penzi, bila mawasiliano/It don’t matter if you dark skinned, light or albino/We can compromise, but my decision is final/Conveying these messages through blackberry or iPhones/Mfano ulaya tutahamia, kama bongo hapafai/Au arabuni, kwenda kuendesha Ngamia Dubai/Mbona unashtuka, kupanda Ndege hujawahi/Mimi nimeshazoea pipa naona karai/Is this love I’m feeling, I don’t know why it feels like I’m dream coz definitely I’m not high/Nakupa moyo kama vingine havifai/So you can turn your lights down low ma, Jah Rastafari/
BRIDGE:
Nikikugusa niguse, nachokupa nikupe, MOYO Wangu nao ushahereke/Nitakuganda kama kupe, this a real life movie, baby girl see I will never throw your love away/hear me say
CHORUS:
You should shut up and listen/If you let me love you, I’mo give you the business/Hayo mapenzi hebu nipe/But if it’s not possible, Niambie nikipe/