Artist Hash Feat Kay Track Bongo Land!!Lyrics

Intro

GQ on another one

Hash

VERSE I : HASH

Darcity man dar dar city man,

Iite dsm au iite bongoland,

Osterbay au tukutane subway,

Unaride..huna ubabe,

Posta shuka kwenye coster,

Nawabana kama mkate kwenye toster,

Ni lil hash the number one g,

Naspit reality,

Ukichoka sema inatosha,(yeah)

Dar darcity boy,

Nakuchezea kama mtoto anavyochezea toy,(rahh)

Haiters nawaacha hoi,

We ni mission town but iam employed,

I got skills,

Gat cash na maujuzi,

Nina madem mcharuko kama kiporo cha juzi,

I gat biggy,

Nimefuzu kwenye utunzi,

Daima napewa bure we unachunwa buzi..

CHORUS : KAY

Nipo morotown,

Nimechill na wana*2

Na watabanana,

Wote watabanana ,

Wenye hate na wana,

Darcity mpaka rockcity,

Watoto wazuri allday,

Mishemishe tunagrind allday,

Tukisaka pay,

Nakuparty..*2

Wazuri zuri zuri zuri allday ay ay ay ay ay ay..

VERSE II : HASH

Yeah

Ahaa, alright

Ahaa

Damn check ile body sisemi kitu,

Anavyopanda na kushuka kama elevator,

Comeon girl wats wrong witchu,

Unavyokata nadata but ama see u later,

Yeah whats wrong now..hash in the ring,

And its the first round,

And ama be back with the damn crown,

Cause iam the king and you are the kingless,

Nachana mistari kuweka difence the narudi back kwenye revenge,

Stage kama nyumbani sioni ni change ahh,

Labda unikute backstage,

Nastopper niogope kama joker,

Namoka kikali kama nafoka moshi unatoka,

Niite grasshopper mi na love kama kopa,

Mi ni mkali nina nguvu ni kama gas ya coca,

Subzero niite raphero cause i ball so hard mjanja kama nguchiro,

Ahh i talk this mother**,

I talk that mother**,

CHORUS : KAY

Nimechill na wana*2

Na watabanana,

Wote watabanana ,

Wenye hate na wana,

Darcity mpaka rockcity,

Watoto wazuri allday,

Mishemishe tunagrind allday,

Tukisaka pay,

Nakuparty..*2

Wazuri zuri zuri zuri allday ay ay ay ay ay ay..

Nipo morotown,

Nimechill na wana*2

Na watabanana,

Wote watabanana ,

Wenye hate na wana,

Darcity mpaka rockcity,

Watoto wazuri allday,

Mishemishe tunagrind allday,

Tukisaka pay,

Nakuparty..*2

Wazuri zuri zuri zuri allday ay ay ay ay ay ay..