Artist : Dubo Jesus Son Track : Sauti Ya Mitaa !LYRICS

Artist : Dubo Jesus Son
Track : Sauti Ya Mitaa
Prod : Ringle Beats

           LYRICS.

Intro…
(Yes Yes Yoh)
TamaduniMuzik
Dubo Jesus Son…

          Verse…

Snitch Usinishushe Bei /
Kisa Hujanisikia kwa Mixtape ya Duke Au Ray /
Ma-Rapper Unaowajua Nikitua Hawaongei /
Mzazi Sumbua Kizazi Kinaugua Kushney /
Yeah…. Nauandishi Mahiri /
Wanangu M.U.S.T Huniita Dubo Nikki Mbishi wa Pili /
Shabiki Batili Ata Usipo-download Mkito /
Mziki Sibadili ili Nipate Download za Dimpo /
Mziki Umenipa Wana, Umenipa Wapambe Nuksi /
Masela Mavi, Mabishoo Kama Wapambe Wa Jux /
Mziki Haujanipa Hela Ata Ile Ya Mbuzi /
Naupenda Kwani Mpenda Asali Ufwata Nyuki /
Nachoamini Kunavitu Pesa Hainunui /
Jiulize Mwenyewe Kwani Wenye Pesa Hawaugui /
Na Japo Wanasema Kwamba Wenye Pesa Hawaijui Njaa /
Ila Pia Najipa Imani Pesa Hainunui Furaha /
So Nafanya Nachotaka Underground /
Nasikasiriki Unapofanya TRAP ili Upate Dau /
Ni U-snitch Kuacha Misingi Kifala /
Na Kuamini HipHop Sio Mziki Wa Biashara /
Sasa Ona Misingi Umeacha Shillingi Ujadaka /
Mifuko Dry Ringi Umekata….
Ukata wa Pesa.. Mi Nasaka Dough, Napata Paper /
Unasaka Promo, Unasaka Show, Unatoswa Unakosa Unapata Pressure /
Kuwa Anaconda Kama JayDee.. Sikia /
Unataka Show Kama Joh Kuwa Jay Z Pia /
(Hebu Skiza)… Sauti ya U-star Ni Ubishoo /
Ila Dubo Ni Sauti Ya Mitaa Kama D-Knob /
Dubo Ni Mos Def, Big Pooh Mzoefu wa Shule /
Ni Langa, Ni Fid Q, Joseph Haule /
Sura Mbuzi Nawakazia Wazushi Waniogope /
Kuwa HipHop Sio Kumchukia Jux na Dangote /
Ndo Mana Nasema Kumbe Bora Ata Kucheka /
Hawa Ma-rapper Wenu Kumbe Bora Ata Shetta /
Hii Bakora Toka Chamber, Nawachora Kama Jecha /
Nasiwapi Huu Ushindi Hawa Wakora Wa Kipemba /
Ata Kaka Zangu Msidanganywe na Wadau /
Mshawachana Sana Na Msidhani Wamesahau /
Sina Haja ya Kurudia, Fid Alishawaambia /
Usuperstar Mzigo Wa Mwiba, Ukiubeba Utaumia /
Ukipewa Story Za Ma-Star Wenye Majina Utachoka /
Kulinda Heshima Wengine Wanaazima Mpaka Moka /
Ndo Maana.. Wengine Wanaliwa Mpaka Kib●g@ /
Wengine Wamekuwa Mabegi Wanasafirisha Poda /
Siku Hizi Mnauza Uza Sura Bila Mpunga /
Mnastress… Nasikia Siku Hizi Unakula Unga /
Young Dee.. Nasikia Siku Hizi Unakula Tunda /
Nasikitika Kuona Mchizi Umegeuka Chunda /

…..Dubo Jesus Son
…..Ringle Beats
….Panorama

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez