ARTIST: B The Boss Man Lyrics SONG: “AU” (feat. P The Mc, Md Plant, Rickie Melody)

ARTIST: B The Boss Man Lyrics SONG: “AU” (feat. P The Mc, Md Plant, Rickie Melody)

[B The Boss Man:]

Sema baby, Au unataka gari/

Kuzurura kwenda sehem mbali mbali/

Na we uishi ile life ya kifahari/

Yani kila weekend uko fukwe za bahari/

Au unataka perfume unukie/

Ili ukiwa na mashoga zako wakusikie/

Au zile Indian hair uvutie/

Ili kila sehem unapotokea utishie/

Ingawa najua itanigharim/

Vile mamy unapenda vitu adim/

Japo kukuletea inanilazim/

Mana penzi lako tu kwangu ndo kitu muhimu/

[Md Plant:]

Tulia tulia penzi lako umenikolea

Na kwako sijiwezi/

mpenzi unaniwezea

[Rickie Melody:]

Nitathubutu, unielewe’ sinakitu Au niwe zuzu, unichune ,kilakitu

[Md Plant:]

Doo doo doo, embe dodo limelala mchangani Hata mwingine baby sitamani

[Rickie Melody:]

Basi nikoleze,Ukanipoteze,nisijiweze You’re my love

[P The Mc:]

Au unapenda twende beach kwa sana/

Sikatai mana kwangu we ndo chick wa maana/

Uko lovely, sexy,  peace kwa sana/

Mwenye sifa kali ambazo hata ma bi

*** hawana/ Sema basi unataka nifanye nini/

Ili kwenye life kila masaa unigande mimi/

Haina mana kachaa sijiamini/

Ila hofu kubwa ni kwa mapapaa wa mjini

Ama napokuwa nawe nile suit/

Ili wakatushangae na wazush/

town, kisha tukakae hata hata bush/

Ili twende zoo tukapae na maparachut/

Hata ukitaka kila week end movie/

Twende tukawadatishe wapuzii/

We ndo nimekuchagua kwa life/

Ili kesho uje kuwa ma wife/ (so just tel me)

[Md Plant:]

Tulia tulia penzi lako umenikolea Na kwako sijiwezi/

mpenzi unaniwezea

[Rickie Melody:]

Nitathubutu, unielewe’ sinakitu Au niwe zuzu, unichune ,kilakitu

[Md Plant:]

Doo doo doo, embe dodo limelala mchangani Hata mwingine baby sitamani

[B The Boss Man:]

AU mi nijipende mwenyewe

(B The Boss Man)

Itakua vipi uchezewe

(P Mawenge)

Na moyo utaniuma mwenyewe

(rickie melody) Kama vipi nikubalie mwenyewe (md plant yoo)