Categories Archives: #ThroBack

OMMY DIMPOZ ft ALI KIBA.

  Nai Nai ni ngoma iliyo wakutanisha wakali Ommy Dimpoz na King Kiba siku kadhaa nyuma, pata nafasi nyingine ya kuisikiliza na kushare na washkaji kusapoti mziki mzuri. Tucheki thru FB | TWITTER & FACEBOOK TIZNEEZ ...

THROBACK NA LADY JAYDEE #NaamkaTena.

THROBACK NA LADY JAYDEE #NaamkaTena Hii kawaida kwa team tizneez kukuletea kumbukumbu zilizo nyingi zilizofanywa na wasanii wetu wa zamani, ambao wengi wao sasa wameonekana kutopewa heshima na baadhi ya watangazaji walioibuka ambao ni wazi wameendelea kup ...

THROBACK NA SOGGY DOGGY.

THROBACK NA SOGGY DOGGY Ni moja kati ya wasanii wa mwazo waliosaidia kukua na kuenea kwa muziki wa bongo fleva/hiphop. Nyimbo kama kibanda cha simu ni moja pia ya zile nyimbo zake bora za wakati wote. Nyakati zinakwenda wakati wengi wakitumia muda mwingi ...