Categories Archives: #ThroBack

Perfume album ya Joslin imetimiza miaka 15..

Perfume album ya Joslin imetimiza miaka 15. Huwezi kutaja wasanii wakali na bora kuwahi kuwepo/wapo katika ardhi ya Tanzania bila tajo la Joslin. (Naam) Uwezo wa kuchana na kuimba umefanya awe na heshima kubwa mbele ya wajuzi wa muziki. (Kabisa) Uimbaji w ...

Kunako 2002 Afande Sele aliyaona ya 2018..

Kunako 2002 Afande Sele aliyaona ya 2018. Fikra za Mfalme Sele hakika zitaishi milele katika muziki huu. Lakini wasanii wachache mno ambao pia humpinga katika mengi. Ila kupinga kwao ni kutokana na kutojipa wasaa juu ya kusikiliza mengi yenye maana kutoka ...

Je! Wajua Rama Dee alishinda tuzo ya KTMA 2013?.

Je! Wajua Rama Dee alishinda tuzo ya KTMA 2013? Wajuzi wanaamini yakuwa Rama Dee ni msanii bora wa nyakati zote katika uwanja wa muziki wetu. (Hakika) Lakini huwezi kujua ubora wa Rama Dee kama huna sikio lenye usikivu juu ya muziki mzuri wenye tungo adhi ...