Categories Archives: Photos

PICHA 20 ZA VIDEO MPYA YA SAM MISAGO.

Nimepania ndio ulikuwa wimbo wake wa kwanza watu kufahamu kuwa Sam Misago ana kipaji cha kurap, licha ya kuwahi kusema ni miaka mingi nyuma alikuwa akifanya muziki kabla hata ya kuwa mtangazaji. Ni wazi Sam ameamua kwa dhati kuonyesha uwezo wake alionao k ...