Categories Archives: News

BEN POL AELEZEA KIUNDANI MOJA MOJA.

Nikikupata,pete,samboira,unanichora hizi ni baadhi ya nyimbo za mkali Ben Pol ambazo zimewahi kufanya vizuri katika muziki hapa Tanzania na nje pia. Ben pol ambaye kwasasa anafanya vyema na wimbo wake wa Sophia upande wa audio na video ambapo umeweza kuin ...

SHEDDY CLEVER AMSHUKURU DIAMOND PLATNUM.

Sikiliza hapa chini akizungumzia furaha yake ya kufanya kazi na Neyo pamoja na kumshukuru Diamond Platnumz Source by Jabir Saleh (The jump Off Times fm) Unaweza kuwa rafiki yetu facebook.com/tizniz instagram.com/tizneez twitter.com/tizneez ...

BAGDAD AWAONYA WASANII,AWEKA WAZI MTAZAMO WAKE.

Wakati kampeni rasmi za uchaguzi zikitarajia kuanza hivi karibuni na tayari watu wengi wamekuwa wakisubiri kwa hamu kusikia sera za viongozi mbalimbali ambao wamejitokeza katika kugombea nafasi mbalimbali kama udiwani,ubunge na uraisi. Wasanii wengi wamke ...