Categories Archives: News

DARASA NIMESHAPATA UFUMBUZI WA MUZIKI WANGU.

Sikati tamaa ni nyimbo iliyoweza kumtambulisho katika ramani ya muziki wa hip hop hapa inchini Tanzania.Darasa ambae kwasasa anafanya vizuri na wimbo wake wa heya haye aliyomshirikisha Mr Blue. Darasa,akiongea kwenye kipindi cha The jump Off kinachoongoz ...

KALA JEREMIAH CHAGUA MTU SIO CHAMA.

Nchi ya ahadi ni nyimbo yake inayofanya vizuri wakati huu katika media mbalimbali,Kala Jeremiah ni moja kati ya wasanii wa hip hop wanaofuatilia sana swala la siasa.Licha ya Kala kufanya nyimbo za kuhamisha na kuelimisha katika nyimbo zake,kwasasa ameamua ...

MID YEAR TOP 10 (Audio).

Karibu katika top 10 ya nusu mwaka,zifuatazo ndio ngoma kumi zilizobamba zaidi katika kipindi cha mwezi januari hadi mwezi mei 2015. 1.Shetta ft Kcee- Shikolobo 2.Ali Kiba- Chekecha Cheketua 3..Ruby- Na yule 4.Diamond-Nana 5.Fid Q-Bendera ya Chuma 6.Ben P ...