Categories Archives: News

MTU CHEE YAWEKA WAZI KUHUSU YOUNG KILLER.

Mtu tatu ndio wimbo wao mpya waliowashirikisha wakali kama Jux,Dedy na Young Killerwimbo huo umetoka leo na kutambulishwa kwenye vituo vya radio mbalimbali.Mtu chee ni kundi linaloundwa na Stamina pamoja na Country Boy lakini zamani kundi hili likuwa lina ...

DULLY SYKES USO KWA USO NA YAMOTO BAND.

King wa bongo fleva Dully Sykes anaefanya vizuri na ngoma yake ya shuka kwenye chati mbalimbali za tv na radio hapa nchini Tanzania. Dully ambaye kwasasa ameamua kuja tena na utofauti wa juu kama ilivyo kawaida yake, Ambapo ameamua kufanya kazi na Yamoto ...

FID Q AJULAUMU KWA MAAMUZI YAKE.

Hip hop star Fid q ambye anawakilisha vyema Jiji la Mwanza,mkali aliyefanya hits songs kama chagua moja,mwanza mwanza,ielewe mitaa,proffessional,propaganda.bongo hiphop pamoja na nyingine nyingi. kupitia mtandao wa Twitter Fid q hakusita kuwekawazi hisia ...

JOH MAKINI KILA MTU ANA UHURU WA KUJIAMULIA.

Zimbaki siku 5 tu tuweze kupiga kura za kuchagua viongozi kuanzia ngazi ya diwani,mbunge na rais hivyo ni vyema  kufanya uchaguzi wa amani. interview hii ilifanyika Dar LIve Mbagara siku ya show ya the jump off michano ya times fm iliyokuwa chini ya Jabi ...

BELLE 9 AANZA KUVUKA BODA.

  Shauri zao ni wimbo wake msanii Belle 9 unafanya vizuri katika chati mbalimbali za tv na radio hapa nchini.Belle 9 ambaye kwasasa amehamishia makazi yake Jijini Dar es salaam.Na tayari ameanza kufanya kazi na kampuni yake binafsi ya Vitamin music a ...

CHEMICAL NILIUSOMA MCHEZO NIKIWA NJE.

Sielewi ni wimbo wake uliomtambulisha kwenye game ya bongo fleva hapa nchini Tanzania.Chemical kwasasa amedhihirisha kipaji chake baada ya kuachia ngoma yake ya V.I.P ambao mpaka sasa tayari umeshaingia katika chati mbalimbali za Radio. Chemical kwasasa n ...

BASATA YAFUNGIA WIMBO WA ROMA MKATOLIKI.

Viva roma viva ni wimbo wake mkali Roma uliotoka hivi karibuni,licha ya kutoka katika muda mfupi lakini umekuwa wimbo ulipata maoni mengi kutoka kwa watu mbalimbali kutokana na mambo mengi yaliyoongelewa katika wimbo huo wa viva roma viva. Baraza la sanaa ...