Categories Archives: News

Witnes Akana urafiki na Shaa..

Witnes Akana urafiki na Shaa. Witnes ni moja kati ya wasanii ambao walikuwa wanaunda kundi la Wakilisha ambalo lilikuwa ni moja ya makundi makubwa katika muziki wa kizazi kipya. Kundi hilo lilikuwa linaundwa na Shaa, Witnes, pamoja na Marehemu langa. Mape ...

Moni Atoa tahadhari kwa wasanii..

Moni Atoa tahadhari kwa wasanii. Ni mwezi sasa umepita tangu kutokea kwa tukio utekwaji ambalo lilihusisha studio ya Tongwe Record na wasanii wake kama Roma, Moni, pamoja na Bin Laden akiwa kama mtayarishaji wa muziki. Tangu kupatikana kwao Moni hakuwa mz ...