Categories Archives: News

Barua ya wazi kwa Dj Fetty.

Barua ya wazi kwa Dj Fetty Nimeona kila mtu amesahau kuhusu huyu dada ambaye ni mtangazaji mstaafu kutoka radio ya watu Clouds Fm. Aliyeondoka na uwezo wake mkubwa na mpaka leo pengo lake bado lipo. Pia nirudi kwenu Tizneez.com wakati wote mnaandika mambo ...