Categories Archives: News

Moni Centrezone agongwa na gari..

Moni Centrezone agongwa na gari. Moni ni msanii mbaye anaunda kundi la Moco akiwa na Country Boy. Ambapo amepata ajali ya kugongwa na gari maeneo ya Sinza La Chalz Pub, Alfajiri ya leo walipokwenda kununua chakula akiwa na msanii mwenzake Country Boy. Cou ...

“Mimi nimeamua kufuata muziki” Rama Dee..

“Mimi nimeamua kufuata muziki” Rama Dee. Kikao cha family ni wimbo wake Rama Dee ambao umemtambulisha vyema kwenye ramani ya muziki wa kizazi kipya. Lakini Rama Dee amewahi kufanya vizuri na wimbo kama, Sara, Kuwa na Subira, Kama huwezi, Usihofie wach ...