Categories Archives: News

Bonta amuandikia andiko Mh Jokate Mwegelo.

Msanii wa hiphop Bonta Maarifa ambaye ni moja kati ya wasanii wenye heshima kubwa katika tungo zake hakusita kuweka wazi andiko lake juu ya Mh Jokate. Ambapo kupitia mtandao wa picha ‘Instagrama ameandika “MNYONGE MNYONGENI HESHIMA YAKE MPENI ...

Nikki Mbishi anapotoka kukataa mahojiano..

Nikki Mbishi anapotoka kukataa mahojiano. Mara zote hunena yakuwa “Hakuna muziki usiokuwa biashara” isipokuwa “Biashara inahitaji matangazo nyakati zote” Ndiyo maana tunaona kila leo makampuni makubwa ambayo tangu tumezaliwa yameku ...

Babuu wa Kitaa kurudi tena kwenye muziki..

Babuu wa Kitaa kurudi tena kwenye muziki. Kimbia akiwa akiwemo Langa na Mchiz Mox ni wimbo wake Babuu wa Kitaa ambao ni moja ya nyimbo bora za hiphop tulizonazo. Lakini Babuu kwa muda mrefu sasa amekuwa ni mtangazaji katika kituo cha Clouds Tv, hivyo muzi ...