Categories Archives: Makala

Nuh Mziwanda shika njia yako na uende zako..

Nuh Mziwanda shika njia yako na uende zako. Daima husisitiza yakuwa muziki una nguvu kuliko matendo yasiyo na upana wa muziki. Na mwisho wa matendo hayo hubaki fedheha kwa msanii mbele ya wajuzi na jamii. Miaka mitatu nyuma Nuh hakuwa msanii mwenye kuhesh ...