Categories Archives: Makala

JAY MOE NA HILI GAME Sehemu ya III.

JAY MOE NA HILI GAME Sehemu ya tatu ______________________ Kama bado hujaelewa katika mfululizo wa makala haya yamelenga nini?. Makala haya yamelenga kuuchambua wimbo wa Hili Game wa Jay Moe na wala hayajalenga kuelezea historia ya maisha ya Jay Moe kama ...

FID Q AMEJUA KWENDA NA WAKATI.

FID Q AMEJUA KWENDA NA WAKATI Huyu na yule ni wimbo uliomtambulisa katika ramani ya muziki wa hiphop nchi Tanzania,miaka ya 2000,na wimbo huu alifanya na msanii Mr Paul, na baadae kufuatiwa na ngoma binti malkia alichofanya na mkali Nuruely na fid q.com a ...

KIKAO CHA WASANII CHA KISANII Sehemu ya III.

KIKAO CHA WASANII CHA KISANII Sehemu ya III Nyuki na inzi ni wadudu wanafanana kimaumbule,ila wanatofautina katika vitu vingi sana.Tofauti ya kwanza ni tabia, nyuki tabia yao ni kuwa wamoja katika mambo yote, uhamaji, kutengeneza asali na hata wakati wa k ...

ZIGO REMIX KUHAMASISHA USHOGA?.

Nianze kwa kuomba radhi, pengine ni uwezo wangu mdogo wa kufikiri ndio unaonifanya kuandika hiki ninachotaka kukiandika wakati huu, lakini lengo sio baya, ni zuri mno. Zama zile wahenga waliamini kuwa mgema akisifiwa basi kinachofuata ni kujaza maji katik ...

DHAHABU KWENYE PUA YA NGURUWE.

Awali sikuwa nafahamu hasa, nini ilikuwa maana ya mtunzi wa msemo “Mwanamke mrembo asiye na akili ni sawa na pete ya dhahabu kwenye pua ya nguruwe.” Iliniwia vigumu sana kuelewa nini kilikuwa kimefichwa nyuma ya ujumbe wa huyu bwana. Kweli fumbo, mfum ...

JAY MOE NA HILI GAME Sehemu ya pili.

JAY MOE NA HILI GAME Sehemu ya pili ______________________ Neno “mocumentary” ambalo linabeba jina la album yake ya tatu, ambalo Jay Moe hulitamka kama “mokyumenari” limetokana na muunganiko wa maneno Jay Moe na Documentary. Utarat ...

JINAMIZI NYUMA YA MWANAZUONI.

JINAMIZI NYUMA YA MWANAZUONI Sanaa!Sanaa!Ama kwa hakika ni tunu iliyotukuka sana. Ni nani asiyetambua ladha ya muziki sambamba kabisa na ala zake zilizopigwa kwa ustadi wa hali ya juu. Hatuna budi kumpa sifa yule ambaye aliyegundua utamu na ladha hii mari ...

JAY MOE NA HILI GAME Sehemu ya I.

JAY MOE NA HILI GAME Sehemu ya kwanza ______________________ Katikati mwa Miaka ya 2000 kituo cha Luninga cha EATV ama Channel 5 kilikuwa na kipindi kinachoitwa “In da House”. Kipindi hicho kilikuwa hakina mtangazaji maalumu ila kilikuwa na ka ...

KIKAO CHA WASANII CHA KISANII Sehemu ya II.

Nianze kwa kumshukuru Mungu kwa siku nyingine amani na utulivu katika nchi yangu,Huku wengi wapenda maendeleo tukifurahi kwa ushindi wa Mbwata Samatta kwa kutunyanyua watanzania baada ya kuwa mchezaji bora Afrika anayecheza ligi ya ndani.Hii haijagusa wap ...