Categories Archives: Makala

“ISHI KWA ULICHOKISEMA” PROF JAY.

“ISHI KWA ULICHOKISEMA” PROF JAY Prof Jay ambaye ni zao la kundi la Hard Blasters ambapo inaaminika ni moja ya makundi machache ya hiphop yaliyofanya kukubaliwa kwa kasi muziki huu wa bongo fleva. Prof jay ambaye sasa ni Mbunge wa Jimbo la Mik ...

DIAMOND PLATNUMZ NI KWELI AMESAHAU KAULI YAKE?.

DIAMOND PLATNUMZ NI KWELI AMESAHAU KAULI YAKE? “Usitukane mamba kabla hujavuka mto” moja kati ya misemo iliyomingi ambayo mara zote hupenda kuitumia katika shughuli za kila kila siku hasa katika kazi yangu pendwa ya uandishi. Wapo wachache wenye kusem ...

UTATA BAINA YA NASH EMCEE NA FID Q.

UTATA BAINA YA NASH EMCEE NA FID Q Miaka kadhaa iliyopita FID Q alikua akiwaalika wasanii wanaorap hasa wale               ma emcee kutoka katika utamaduni wa hiphop katika kipindi cha fidstyle Friday ambapo ma emcee  walionyesha uwezo ...

WASANII WA KIZAZI KIPYA WANAJIKWAMISHA WENYEWE.

WASANII WA KIZAZI KIPYA WANAJIKWAMISHA WENYEWE Ni wiki kadhaa zimepita kama sio mwezi/miezi tangu wasanii wa sanaa ya muziki hususani kizazi kipya, walipoamua kutangaza maadhimio yao matatu.Ambayo ni Kuendelea kuchezwa/kupigwa kwa nyimbo zao bure katika v ...

VINEGA HAWAKUMHITAJI DOKTA MWAKA.

VINEGA HAWAKUMHITAJI DOKTA MWAKA Ni miaka minne na siku 111 imepita tangu kufanyika kwa Tamasha la Burudani kwa Mashabiki. Tamasha hilo lilifanyika Novemba 26, 2011 katika viwanja vya Taasisi ya Ustawi wa Jamii (wengine huita chuo cha ustawi wa Jamii) kil ...

TUSIMCHEKE WALA TUSIMDHIHAKI CHID BENZ.

TUSIMCHEKE WALA TUSIMDHIHAKI CHID BENZ Poleni rafiki zangu mliopotea kwa madawa Hii ni kwa mujibu ya Mr Blue ambaye alisema maneno hayo katika wimbo wa 26 number ambao ni wimbo halali wa Nyandu Tozi, ambapo katika nyakati hizi pia Mr Blue alikuwa akipokea ...

JE!!WASANII WA HIPHOP HAWAJUI KINACHOENDELEA?.

JE!!WASANII WA HIPHOP HAWAJUI KINACHOENDELEA? Hip hop ni muziki ulionza kushika kasi Tanzania miaka ya 1990 ambapo kipindi hicho kulikuwa na makundi zaidi na sio msanii mmoja mmoja kama ilivyo sasa. Kulikuwepo na makundi yaliyo mengi licha ya machache kuo ...

DHARAU HUANGUSHA WENGI WENYE VIPAJI “ HANSCANA”.

“DHARAU HUANGUSHA WENGI WENYE VIPAJI “ HANSCANA” Hakuna jambo jema kama kukumbushana yaliyo mema katika maisha ya kila siku, moja kati ya mengi yaliyo mema ni Nidhamu. Nidhamu!!Nidhamu!!Nidhamu!neno dogo ambalo lina herufi saba tu, lakini katika hiz ...

JE! LINEX HAAMINI KATIKA MUZIKI WAKE?.

JE! LINEX HAAMINI KATIKA MUZIKI WAKE? Linex ni msanii mwenye kipawa kikubwa, tizneez ni moja ya kati ya watu wanaoamini kuwa kipaji chake bado hakijamlipa kama vile ipasavyo, maana amekuwa akiandika nyimbo zenye kuishi kwa muda wote tofauti na wasanii wal ...

WASANII WENGI WA BONGO BADO CHIPUKIZI KWA KUKOSA ALBUM.

WASANII WENGI WA BONGO BADO CHIPUKIZI KWA KUKOSA ALBUM “Msanii chipukizi” kwanza kabisa neno chipukizi ni neno lililotokana na neno chipukia hivyo asili ya neno chipukizi ni neno chipukia. Wakati neno hilo chipukia lilikuwa na maana ya kuchomoza yani ...