Categories Archives: Makala

Dubo Hawa marapa wenu kumbe bora hata ya Shetta.

DUBO: HAWA MARAPA WENU KUMBE BORA HATA SHETA _______ Kuna wachanaji wengi tu katika nchi hii hata nje ya nchi ambao walikuwa na ndoto na bado wana ndoto ya kufanya kazi na Duke. Duke ni mmoja kati ya maprodyuza ambaye ukimuondoa majani ndiye atakayekuwa a ...

Kilichomkuta Stamina kitawakuta wasanii wengi.

Kilichomkuta Stamina kitawakuta wasanii wengi Ilikuwa ni tarehe 21/1/2016 pale ambapo msanii wa hiphop Stamina alipoamua kuingiza album yake sokoni. Ambapo pia kabla ya kwenda sokoni team tizneez ilimpatia andiko la kueleza vile ambavyo album hiyo itakuwa ...

Kuwepo na kutoweka kwa Ferooz.

Kuwepo na kutoweka kwa Ferooz Starehe ni moja kati ya nyimbo zake zilizotikisa miaka ya 2004 kabla ya kufuatiwa na album yake ya Safari, ambayo ilifanyika ndani ya Studio ya Bongo Record ambayo ndio studio inayoongoza kwa kutengeneza album nyingi katika m ...

Mwenye Nacho Huongezewa.

Mwenye nacho huongezewa, asiye nacho hata kile kidogo alicho nacho ananyang’anywa. Nazidi kuijengea hoja imara kauli hii ambayo awali niliona kama ni propaganda zisizo na ukweli. Lakini nilikuja kuamini baada ya kusikiliza simulizi hii ya kuhuzunisha ki ...

Umaarufu unaambatana na upumbavu?.

Umaarufu unaambatana na upumbavu? Muziki wa kizazi naona umegawanyika katika makundi mawili.Kuna wasanii wanaojiheshimu pia wale wasiojiheshimu, msanii mwenye akili utafakari kabla hajafanya jambo na msanii msanii asiye na akili hufanya jambo bila kutafak ...

Namuona Diamond Platnumz ndani ya Harmonize.

Namuona Diamond Platnumz ndani ya  Harmonize Moyowe ya Afande Sele akiwa na Jay mo moja kati ya nyimbo zangu chache ambazo huzisikiliza mara nyingi kwa siku. Moja ya kati ya maneno yenye busara aliyosema Afande Sele ni “Hii ni fani na msanii na msanii ...

Lady Jaydee Ni maana halisi ya msanii.

Lady Jaydee Ni maana halisi ya msanii “Tumekaa muda mrefu sitoweza kuwaacha” moja kati ya maneno aliyoimba Lady Jaydee kwenye wimbo wa Muda mrefu wa Mr II sugu. Wimbo huu alishirikishwa Lady Jaydee, pia wimbo huu umetoka kwenye album ya Millennium ya ...

Mambo matano yanayomuangusha Ali Kiba kimuziki..

Mambo matano yanayomuangusha Ali Kiba kimuziki. Ali Kiba ni miongoni mwa wasanii wenye kipaji cha hali ya juu, mimi ni moja kati ya wale wanaoamini katika uwezo aliyobarikiwa na muumba wetu. Ali Kiba ambaye licha ya muziki ila anakipaji kingine cha kusaka ...

“Tuhamie Mwezini”Ukweli ulionyimwa nafasi..

  Rama Dee Katika picha juu “Tuhamie mwezini “ya Danny Msimamo, Suma G na Rama Dee ukweli ulionyimwa nafasi Kuna wakati inabidi turudi kutazama yaliyopta ili tujifunze yaliyomema katika maisha yetu ya mbele, tuache ule msemo usemao” kilichopita ...