Categories Archives: Makala

Wasanii kupigwa radioni 90% sio mwisho wa matatizo..

Wasanii kupigwa radioni 90% sio mwisho wa matatizo. Juhudi za wasiojiweza, ni moja kati ya nyimbo zangu chache ambazo huzisikiliza mara nyingi kwa siku. Wimbo huu ni wimbo wa msanii Fid Q ambapo ameshirikisha Bi kidude, ambaye sasa ni marehemu. Hakika wim ...

Mtazamo wa wazi juu ya Young Killer.

Mtazamo wa wazi juu ya Young Killer Popote kambi ni wimbo wake wa mwisho kutoa aliyomshirikisha Mkali Juma Nature, wimbo huu kwangu ni wimbo mkubwa, ila najiuliza kwanini haujapata nafasi katika media kuanzia audio mpaka video? Young Killer ni moja kati w ...

Je Ali Kiba hatorudia makosa yake?.

Je Ali Kiba hatorudia makosa yake? Cinderella ni album yake ya kwanza ambayo ilitoka mwaka 2007, na album hii ilikuwa na nyimbo nyingi ambazo ni wazi hakuna mpenda muziki wa kizazi kipya ambae hakupata kujua nyimbo hizo. Wimbo kama Cinderella, Mac Muga, N ...

Miluzi mingi chanzo cha anguko la Mabeste.

Miluzi mingi chanzo cha anguko la Mabeste Muziki wa bongo fleva umeendelea kukua siku baada ya siku, ila katika kukua pia kumeendelea kutokea kwa anguko kama sio maanguko ya wasanii walio wengi wenye vipaji vya hali ya juu. Si rahisi kuzungumzia wasanii w ...