Categories Archives: Makala

KIKAO CHA WASANII CHA KISANII.

Muziki wa Bongo Fleva /hiphop ni muziki unaongelewa zaidi mtaani na hata kuchezwa zaidi katika media house za ndani na nje ya nchi pia.Ila wapo walio wengi wasiojua mziki huu ulianza lini. Bongo fleva/hiphop ulianza miaka ya 1990 hasa ikiwa ni muigo wa ku ...