Categories Archives: Makala

“ISHI KWA ULICHOKISEMA” PROF JAY.

“ISHI KWA ULICHOKISEMA” PROF JAY Prof Jay ambaye ni zao la kundi la Hard Blasters ambapo inaaminika ni moja ya makundi machache ya hiphop yaliyofanya kukubaliwa kwa kasi muziki huu wa bongo fleva. Prof jay ambaye sasa ni Mbunge wa Jimbo la Mik ...

UTATA BAINA YA NASH EMCEE NA FID Q.

UTATA BAINA YA NASH EMCEE NA FID Q Miaka kadhaa iliyopita FID Q alikua akiwaalika wasanii wanaorap hasa wale               ma emcee kutoka katika utamaduni wa hiphop katika kipindi cha fidstyle Friday ambapo ma emcee  walionyesha uwezo ...

VINEGA HAWAKUMHITAJI DOKTA MWAKA.

VINEGA HAWAKUMHITAJI DOKTA MWAKA Ni miaka minne na siku 111 imepita tangu kufanyika kwa Tamasha la Burudani kwa Mashabiki. Tamasha hilo lilifanyika Novemba 26, 2011 katika viwanja vya Taasisi ya Ustawi wa Jamii (wengine huita chuo cha ustawi wa Jamii) kil ...

TUSIMCHEKE WALA TUSIMDHIHAKI CHID BENZ.

TUSIMCHEKE WALA TUSIMDHIHAKI CHID BENZ Poleni rafiki zangu mliopotea kwa madawa Hii ni kwa mujibu ya Mr Blue ambaye alisema maneno hayo katika wimbo wa 26 number ambao ni wimbo halali wa Nyandu Tozi, ambapo katika nyakati hizi pia Mr Blue alikuwa akipokea ...

JE! LINEX HAAMINI KATIKA MUZIKI WAKE?.

JE! LINEX HAAMINI KATIKA MUZIKI WAKE? Linex ni msanii mwenye kipawa kikubwa, tizneez ni moja ya kati ya watu wanaoamini kuwa kipaji chake bado hakijamlipa kama vile ipasavyo, maana amekuwa akiandika nyimbo zenye kuishi kwa muda wote tofauti na wasanii wal ...