Categories Archives: Makala

Uko wapi umoja wa wasanii wa hiphop? (Ulizo).

Uko wapi umoja wa wasanii wa hiphop?  (Ulizo) Wenyewe wanahiphop wanalo group lao la WhatsApp ambao wamejiweka huko kwa upana wao. (Ndiyo) Hiphop Community ndiyo jina kamili la Group lenyewe. Mwanzo wao ni katika kusanyo tu ambalo chanzo chake ni matumai ...