Categories Archives: Makala

Fid Q amejua kwenda na wakati kisasa zaidi..

Fid Q amejua kwenda na wakati kisasa zaidi. Fid Q, Si msanii wa kuongea zaidi bali vitendo vyake husikika kuliko maneno ya wasanii wengi wasiokuwa watekelezaji wa mambo mengi ambayo huwaahidi mashabiki wao na mwisho wa siku hushindwa kutekeleza. Fid Q huz ...

“Ali Kiba ni kutwa mara tatu”.

Ali Kiba ni kutwa mara tatu. Ukimfunika kukata mauno atakushinda kutunga. Ukimfunika umaarufu atakutesa kwa sauti. Ukimsumbua kuhonga media yeye atakuumiza kwa kutojisumbua na hizo media. Ni kama kumpenda mwanamke ambaye hajui kama unampenda. Na mbaya zai ...