Categories Archives: Makala

Tuyatafakari ya G Nako tujenge yenye tija.

Tuyatafakari ya G Nako tujenge yenye tija Muziki ni moja kati ya njia inayotumika kufikisha ujumbe katika mambo mbalimbali. Kupitia muziki unaweza ukafahamu mengi yenye tija na hata kukusaidia kupambua mengi katika maisha ya kila siku. Katika upenzi na mu ...

Mziki na Ujasiriamali.

Sanaa ni hazina na urithi, urithi huu tumeedelea kuupokea kama kijiti kutoka kizazi kimoja mpaka kingine. Ni kitu kizuri kuona mziki unakuwa na kwa kasi, kadri miaka inavyokimbia. Kutoka kuimba kwa kutumia ala za asili kama malimba, zeze na ngoma mpaka sa ...

CHANGAMOTO YA WASANII KUHIFADHI KAZI ZAO.

Tafakari ya leo imenifanya nifike hapa kwenye hili swala ambalo kwa kiasi fulani limenisikitisha na kunishangaza. Niliwahi kumuomba msanii mmoja wa Bongo Fleva wimbo wake ambao waliufanya miaka ya nyuma. Kilichonishangaza na kunisikikitisha ni jibu la msa ...

Hakuna muziki usiokuwa biashara.

Hakuna muziki usiokuwa biashara “Ukitaka kuchukiwa na mjinga mwambie ukweli akikosea”Ni wazi kwangu si jambo baya kumfanya mjinga apate kujitambua, hakika muziki wa kizazi kipya umeendelea kukua kila leo. Muziki wa kizazi kipya una historia ndefu kuan ...

Sioni msaada kwa Ray C naona udhalilishaji.

Sioni msaada kwa Ray C naona udhalilishaji Rehema Chalamila ni jina lake kamili lakini anafahamika zaidi kwa jina la Ray C, ambaye ni mzaliwa wa Iringa. Ni moja kati ya wasanii wa mwanzoni katika kukua na kueneza muziki wa kizazi kipya. Huwezi kutaja wada ...