Categories Archives: Makala

“Ili muziki ukulipe ewe msanii”.

“Ili muziki ukulipe ewe msanii” Malalamiko juu ya wasanii ni mengi kuwa muziki haulipi, huku wachache wakionekana wakifaidika Zaidi na muziki huu wa kizazi kipya. Tuzungumze Muziki ni kauli mbiu yetu na hapa tupo shauri ya Bongo Fleva na Hiphop, hivyo ...