Categories Archives: Makala

“Ili muziki ukulipe ewe msanii”.

“Ili muziki ukulipe ewe msanii” Malalamiko juu ya wasanii ni mengi kuwa muziki haulipi, huku wachache wakionekana wakifaidika Zaidi na muziki huu wa kizazi kipya. Tuzungumze Muziki ni kauli mbiu yetu na hapa tupo shauri ya Bongo Fleva na Hiphop, hivyo ...

Stereo kaangukia katika mikono salama ya wcb.

STEREO KAANGUKIA KWENYE MIKONO SALAMA YA WCB NA JOHN SIMWANZA Msanii wa hiphop Stereo ambaye ni miongoni mwa marapa bora ambao wamepata kuwepo katika ramani ya muziki wa kizazi kipya chini ya mwamvuli wa hiphop, ambaye sasa taarifa za yeye kusaini katika ...