Categories Archives: Makala

Billnas na upendo juu ya Godzilla.

Billnas na upendo juu ya Godzilla Mashabiki wana uwezo mkubwa wakuwapatanisha wasanii ambao huwa hawana maelewano mazuri. Pia Mashabiki hao hao wanao uwezo mkubwa wakuvunja uhusiano wa wasanii ambao wanakuwa na uhusiano mkubwa. Mambo haya yamekuwa yakijit ...

Uwezo wa Laizer wa Wasafi unatia mashaka..

Uwezo wa Laizer wa Wasafi unatia mashaka. Wasafi imekuwa na nyumba bora sasa katika muziki wa kizazi kipya, kwa maana ya chati zote za radio na runinga ni lazima kuwepo na wimbo wao kwa namna yoyote ile. Hili ni jambo jema kibiashara kwa maana ya upana wa ...