Categories Archives: Makala

Ali Kiba ataweza umbili mara mbili?.

Ali Kiba ataweza umbili mara mbili? Tumetafakari kwa mapana mno juu ya uhalisi wa Ali Kiba kucheza katika ligi kuu ya Tanzania Bara akiwa mchezaji wa Coastal Union Tanga. Na tafakari ni katika semi ya mswahili yakuwa “Mtaka vyote kwa pupa hukosa vyo ...