Categories Archives: Makala

Wasanii wanaangamia kwa kukosa maarifa.

Wasanii wanaangamia kwa kukosa maarifa Swala la kuambiana ukweli ni jambo jema na zuri, na kuelezana ukweli yapasa iwe katika kila siku katika namna yoyote ya maisha yetu. Kuwa na maarifa inafanya uweze kufanikiwa katika mambo yote ambayo utakuwa ukifanya ...

Inashangaza kumshangaa Baraka Da Prince.

Inashangaza kumshangaa Baraka Da prince Huwezi kutaja majina ya wasanii chipukizi wanaofanya vyema katika ramani ya muziki wa kizazi kipya bila kutaja jina la Baraka Da prince. Baraka amekuwa akifanya vizuri kimuziki ndani na nje ya Tanzania. Ni siku kadh ...

Wasanii wanawafanya watanzania wajinga..

Wasanii wanawafanya watanzania wajinga. Ni vyema kukumbushana mema katika nyakati hizi ambazo muziki wetu unaonekana kukua kwa kasi nzuri. Lakini kama utakuwa ukikua kwa kasi ya uongo na kufanya mashabiki wajinga haitaleta maana yenye uzuri. Mashindano ya ...