Categories Archives: Makala

Muziki biashara na Biashara ya muziki..

Muziki biashara na Biashara ya muziki. Mosi Biashara ni shughuli ama mchakato wa kununua na kuuza mali, vitu au lolote katika uuzaji.  Biashara yaweza kufanywa na mtu binafsi au ushirikiano wa umoja ama jamiii kadhalika nchi kwa ujumla. Na biashara zimeg ...

Vazi la Ali Kiba haliwatoshi King’s Music.

Vazi la Ali Kiba haliwatoshi King’s Music. Waswahili hunena yakuwa “Mwenye moja havai mbili” Semi hii ni yenye uhalisia mkuu katika uisho wa King’s Music. (Hakika) King’s Music wapo chini ya Ali Kiba na ambapo muundo wake ni ...

Lord Eyez na ‘Kweli’ yenye uwezo wake kamili..

Lord Eyez na ‘Kweli’ yenye uwezo wake kamili. ‘Hawatuwezi’ ilikuwa masikioni katika usikivu mkuu, na hii ni kwa muda mrefu zaidi. Kwa maana uwepo wa Weusi umefanya tukose ladha kamili ya Lord Eyez kwa urefu. Maana yetu ni kwamba ha ...