Categories Archives: Lyrics

Sumu Lyrics by Fid Q.

Alieniumba alinipa mdomo hovyo nina haki ya kuongea/ ni bahati nimeotea..safi… Kamwe siachi kuishea/ hamtaki niwe fair…? Trust me.. Me huwa happy niki-care/ na ninaowatouch husema” mshkaji upo smart upstairs / usiache kuongea/ usiache we ...

Roho Lyrics by Fid Q Feat Christian Bella.

    ROHO   VERSE 1: ( FID Q)   Nilipommiss Hakutokea, ili kunigea kiss au kuni-hug/ Hakuni-care huyu binti, aliendelea kunimwaga/ Sijawahi penda kama hivi lakini mapenzi yakaniditch/ Nilisurvive vipi sikumuita 1st LOVE B@#$?/ Ninahisi. ...

Song: I am Supplying Artist: Langa:Lyrics.

Song: I am Supplying Artist: Langa (intro) Lyrically and naturally gifted Rais wa kitaa don’t get it twisted (verse 1) Rushwa umaskini vita vya kidini Lini Africa tutapata tiba ya ukimwi Watoto wa maskani maua yanayokua sakafuni Yanayochanua kwa tabu, j ...

Ibaki Story -Lyrics By Rich Mavoko.

[Verse 1] Matapishi ni kinyaa kuzirudisha tena kwenye kinywa Japo mengi ulisema, kama nuru ghafla ukazima Ikawa ngumu kukusahau, nikasema moyo ukome Kwa kali sulu na madharau, penzi ulivunja na ngome [Pre-Chorus] Na unajua hata nikilia siwezi kutokwa na m ...

Kipenda Roho Lyrics By Rama Dee.

varse 1 mwanga umefanya watuone, wakosowe ni somo tu chombo kwenye maji lake jua yake mvua safari tu kwenye mvua metope si ndumba oh yasikufanye uchoke mchumba oh wanapanga maneno kama chati za kumi bora kuumpima upendo ni hatari chorus Mbele tunaona vita ...