Categories Archives: Lyrics

Roho Lyrics by Fid Q Feat Christian Bella.

    ROHO   VERSE 1: ( FID Q)   Nilipommiss Hakutokea, ili kunigea kiss au kuni-hug/ Hakuni-care huyu binti, aliendelea kunimwaga/ Sijawahi penda kama hivi lakini mapenzi yakaniditch/ Nilisurvive vipi sikumuita 1st LOVE B@#$?/ Ninahisi. ...

Song: I am Supplying Artist: Langa:Lyrics.

Song: I am Supplying Artist: Langa (intro) Lyrically and naturally gifted Rais wa kitaa don’t get it twisted (verse 1) Rushwa umaskini vita vya kidini Lini Africa tutapata tiba ya ukimwi Watoto wa maskani maua yanayokua sakafuni Yanayochanua kwa tabu, j ...

Ibaki Story -Lyrics By Rich Mavoko.

[Verse 1] Matapishi ni kinyaa kuzirudisha tena kwenye kinywa Japo mengi ulisema, kama nuru ghafla ukazima Ikawa ngumu kukusahau, nikasema moyo ukome Kwa kali sulu na madharau, penzi ulivunja na ngome [Pre-Chorus] Na unajua hata nikilia siwezi kutokwa na m ...

Kipenda Roho Lyrics By Rama Dee.

varse 1 mwanga umefanya watuone, wakosowe ni somo tu chombo kwenye maji lake jua yake mvua safari tu kwenye mvua metope si ndumba oh yasikufanye uchoke mchumba oh wanapanga maneno kama chati za kumi bora kuumpima upendo ni hatari chorus Mbele tunaona vita ...

Ruby X Wakazi – Sijutii Remix (Lyrics).

Ruby X Wakazi – Sijutii Remix (Lyrics) INTRO: (RUBY) Wakaziiiiiiiii VERSE: ONE (WAKAZI) Mi ni mchota Maji, nikiwa na kiu niyanywe/Pia ni mvua samaki, nikiwa na njaa niwale/Bahati mbaya, mara nyingi navua kambale/Juu yake misukosuko ya mamba, Pamoja ...

Artist Cash Donta Track New Era Lyrics.

New Era Niite Malenga, Mhenga Katamba Kale Podo Imejaa Dope nawawinda bila Mishale Mbuga Zinachanjwa Kama Chale Bars Zinamechishwa Kama Sare ‘XX’ Chapa Ilale ‘XY’ Nina Mingale Kama Sex Ni Sport? Abortion UShindi Wa Mezani Mistari Naiunganisha Na D ...