Categories Archives: Lyrics

Hapa Wakazi Tu (LYRICS).

VERSE 1 Nastahiki kufungiwa kimuziki kabisa/Kisa cha huyu msanii ni ka kisa cha Nabii Issa/Mbinguni nina hisa, with these bars/Hata nikioa Malaika, bado sitolewa sifa/Please God, not blasphemy comparin myself to Jesus/Let em ridicule, they did the same to ...

P THE MC – MITAA NAYOTOKA ( LYRICS).

Verse One: Natoka mtaani ambako birthday chache MINGI MISIBA/ Mtaani ambako hakuna raha NYINGI NI SHIDA/ Elimu sio kigezo kwa demu MSINGI NI FIGA/ Na hakuna mnyonge hata ukimkuta DINGI NI NIGGA/ Mchana mpaka USIKU vyote NOMA/ Usiombe ukakutana na mbwa MWI ...

KIBABE LYRICS Artist: PROFESSOR JAY.

KIBABE LYRICS Artist: PROFESSOR JAY Produced by Mr T touch Verse 1. Baada ya pilika na mheshimiwa spika , Mikumi imenipa kibali cha kuwakilisha, Kick Kick Snare mmeniita nimeitika, Now here comes the sound of the Mista Tongue Twister, Mr MP, The MVP and t ...

Wakazi – Tanganyika (LYRICS).

Wakazi – Tanganyika (LYRICS) Good morning Tanganyika/I got Zanzi bars ila bado natanga kwenye nyika/Navyo twangwa kwenye spika, sina hit ila nawasha moto yaani Kama heater/Video kali na beat kwao ndio sifa/What happened to bars, kweli hii hali imeba ...

Lyrics mpya za Nikki Mbishi ni moto.

Verse 1: Ng’ombe apigaye kelele ndio apewaye majani/ Agomapo ng’ombe wa mbele wa nyuma yu matatani/ Wakubwa tu mashakani sembuse wafugwa ndani/ Miti yote huteleza ndo muda wa kufa nyani/ Wa kushauri nani kwa kauli na lugha gani/ Utapewa kesi y ...

Wapo Lyrics by Nay wa Mitego.

Verse 1: Unachokipanda leo ndicho utachovuna kesho. Imeandikwa Mwanaume kula kwa jasho. Najiuliza hivi ni nani kaiona kesho. Chapa mwendo na ukilala hauna chako. Hivi uhuru wa kuongea kwenye hii nchi bado upo?. Usije kuongea vitu kesho ukajikuta sentro. & ...