Categories Archives: Lyrics

Mvumo wa Radi Lyrics By Ali Kiba.

Mvumo wa Radi Lyrics By Ali Kiba (Verse 1) Naanza na hii sifa yangu mpweke Misifa mingi na ukwezi me sina makuzi Ntakupenda wewe Ntampenda mama Na baba yako Na ndugu zako Ntakupa mapenzi mimi Kama Mvumule mvumule (Hujawahi pewa]Ma Mvumule mvumule (Ukitaka ...

Lyrics By Nikki Mbishi.

Lyrics:1 Nilikuwa kituoni nikingoja daladala/ Nikamuona manzi mmoja akivuka barabara/ Viatu mchuchumio na Ana mdomo ka chuchunge/ Nikaona kwanza nivunge ningoje mpaka avuke/ Mkononi Ana mkoba mwekundu bastola nundu/ Sikuwa na mapepe nilikuwa nimepoa kizun ...

Baraka Lyics By Izzo Bizness Feat Juma Nature.

ilianza kama ndoto na si masihara/ Kuna time ilipita hata bila ya kula/ Hatukusikitika tulishukuru kwa mola/ Na kila baya tulilizuia kwa sala (Amen)/ Mama Baba walishikana wakavumiliana/ kuna mifano tunaiona wengi tu wanaachana/ inapoingia shida dhiki huf ...

Kunywa maziwa Lyrics By Nikki Mbishi.

KUNYWA MAZIWA Hook: Aisee tunywe Maziwa / Ukiacha vumbi vipi mimoshi tunatumia/ Najua nyote mnanisikia / Na kama ikiwaingia msikose kunywa MAZIWA / Lyrics:1 Sigara nyingi glass moja ya Maziwa mwisho wa mwezi / Wakati kwa siku unavuta paketi tatu za fegi/ ...

Come to me Lyrics By T sigwa.

    ARTIST: T sigwa                 song; come to me prod:by Cat p                         verse1 kama love kwako final/ we niguo i umesha ni fix your my designer Nivute kwako kama Dayna/umeniteka,umeniweza you the ...

Sababu moja Na Malle Hanzi.

SABABU MOJA na Malle Hanzi ©2017 ___________ Hivi umeshawahi kukumbwa na maradhi/ Ama kupokea kichapo kutoka vibaka, wezi au majambazi/ Kiasi kwamba ukashindwa hata kufanya kazi/ Ukaamua kuyahama kwa Muda yako makazi/ Ukarudi nyumbani ili ukauguzwe na wa ...