Categories Archives: Lyrics

Parapanda Lyrics By Rostam.

Intro Wanamiliki visenti, Mambo yamebuma mipango haisomeki Kuna manabii fekii,Ramani hakuna kila kitu hakielewekii Parapanda italia parapanda Parapanda italia parapanda Lyrics1: NYERERE:Karibu Mzee kingunge,kwenye makazi ya milele Mi huku na mji wangu,tay ...

Noma mwanangu Lyrics By P The Mc Feat Deddy.

Lyrics Song: #NOMA_MWANANGU Artist: P Mawenge feat Deddy Producer: Cjamoker Studio: Dream Booth Rec Verse 1: Asubuhi NIMEAMKA mwanangu/ Nikayaelekeza macho kwenye UKUTA mwanangu/ Ile nacheki saa, KUMEKUCHA mwanangu/ So ikabidi nitupe kando MASHUKA mwanang ...

Microphone Lyrics By Ay Feat Fid Q.

MICROPHONE: Verse 1: Mtu mbaya,Zee!!Katili la Flows Niko kwenye Microphone nakata tu Flows Maujanja mwana nayo mengi ila nakeep tu Low-Key, Yanayosemwa naact ka siskii Kumbe na vyanzo vya habari kama KGB ITV TBC BBC Niko Protected kama Area 51 Ukitaka kun ...

Sitaki Lyrics By Omg.

[Intro] – Young Lunya S2Kizzy nipe sauti kidogo, yeah hapo hapo [Verse] – Young Lunya Represent word “peace” since nimeanza kuchana Words Clais akaniambia unaweza kufanya Just fuck your day dreams and focus on night ones Na nnachoh ...

Fella – Navy Kenzo “lyrics”.

Fella – Navy Kenzo “lyrics” Verse 1(Nahreel) “Mi ah gun, mi gatta a gun gun gun.” She a bomb bomb bomb bomb bomb killa Me a seen a bomb bomb bomb bomb bomb killa Me I need a born born born born born tweaker Mi gota long long ...

Maneno ya shabiki Lyrics By Nikki Mbishi.

Maneno Ya Shabiki Lyrics:1 Nikki Mbishi ana chuki ana wivu ana ghubu/ Muziki umemshinda hana kitu anatubu/ Anaishi chumba kimoja anajitia kiburi SUGU/ Fid alisema hana nidhamu mithili ya Willy wa Dudu/ Stress zimemjaa ye” ni pombe tu na ndumu/ Game ...

Mvumo wa Radi Lyrics By Ali Kiba.

Mvumo wa Radi Lyrics By Ali Kiba (Verse 1) Naanza na hii sifa yangu mpweke Misifa mingi na ukwezi me sina makuzi Ntakupenda wewe Ntampenda mama Na baba yako Na ndugu zako Ntakupa mapenzi mimi Kama Mvumule mvumule (Hujawahi pewa]Ma Mvumule mvumule (Ukitaka ...