Darassa, Diamond, Ali Kiba na Vanessa Mdee washinda tuzo Uganda..

Tuzo za Muziki Hipipo (Hipipo Music Awards) kutokea nchini Uganda zimetolewa jana na Tanzania tumeweza kuchukua tuzo 5 kutoka kwa wasanii 4. Na wasanii hao ni Diamond, Ali Kiba, Vanessa Mdee na Darassa Team Tizneez tunawapongeza kwa ushindi huu ambao ni wazi unazidi kuchonga njia ya muziki huu wa kizazi kipya katika hali ya ukubwa. Na hapa chini ni ...