Tizneez Music Awards


Tuzo za Tizneez Muzik Awards zimeanzishwa mwaka 2017 zikiwa na lengo la kusherehekea na kuthamini mchango wa wasanii, media na wadau mbalimbali wa muziki wa Bongo. TMA zinafanyika kila inapofika mwisho wa mwaka. Tuzo hizi ni za mtandaoni tu ambapo washindi hutangazwa kupitia tovuti ya Tizneez Awards na ukurasa za mitandao ya kijamii za Tizneez (Twitter, Instagram na Facebook). Mwaka 2017 idara ya muziki ya Tizneez ilihusika zaidi katika kupanga orodha ya washindi. Mwaka huu asilimia 100% ya kura zitatoka kwa mashabiki wa muziki.


Vipengele vya tuzo


Mwaka huu (2018) Tuzo za Tizneez Muzik Awards zitakuwa na jumla ya vipengele 25, ambavyo vinagusa nyanja mbali mbali katika tasni ya muziki wa Tanzania. Kupigia kura kipengele chochote fata kiunga cha kipengele husika hapo chini.


Wadhamini