Author Archives: Pius Matonya

Pakua Kachi-Presidential Kinda Stuffs.

Kachi mkali kutoka Mji Kasoro bahari (Morogoro) ameachia EP yake ya kwanza Presidential Kinda Stuffs yenye jumla ya nyimbo 9 zilizoshiba ambazo zimefanywa na waandaaji tofauti tofauti. Unaweza kupakua wimbo mmoja mmoja au EP yote hapa hapa.   Presid ...

Bongolow – WAPE Video Shoot.

Bongo Records chini ya Music Producer and Godfather wa Bongo Fleva, P Funk Majani wakishirikiana na Wanene chini ya usimamizi wa Karabani kama Video Director wa WAPE. Kwa pamoja wanakuletea video ya kwanza ya kundi jipya kabisa la muziki wa kizazi kipya B ...

Video: Dyna Nyange ft Billnas-Komela.

Baada ya muda kupita hatimaye Dyna Nyange ameamua kufyatua video ya Komela. Tazama hiki kideo kisha tuambie umeona mabadiliko gani ukilinganisha na video zake zilizopita kisha unaweza kuirate ngoma kuonyeza umeikubali kwa nyota ngapi. Pongezi kwa Mwongoza ...

Nikki Mbishi-“I’M SORRY JK” Mashairi.

Hook: It will one day make sense/Nikisema hakuna president kama JK/ Tanzania inakumiss yaani daily/ Kwa niaba ya wabongo I’M SORRY JK/ Lyrics:1 I’m sorry JK nimeona tu niseme/ Mzuka huu niliupata nikiwa Juu Kijenge/ Mikopo hakuna tena huendi c ...